Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Argentina, aguero anaanzia bench. Nchi gani duniani utamweka aguero bench. Messi anachezea kikosi bora duniani
Argentina Messi anaumia halafu wana mfunga Chile

Walimfunga ujerumani 4-1,messi hayupo
Yaan ki ujumla wana kikosi kizuri
 
Kwa kweli sikulaum mtu yyte angetabiri croatia kupenye kasoro wale mashabiki tuu wa ureno ambao tusinge admit hko kitu

Kilichowapotezea Croatia ni kukazania kumzuia Ronaldo asitafute vyumba na akiende sana mbele.

Luka Modric na Ivan Rakitic wanacheza na Ronaldo pale Bernabeu hivyo kwa kuwa wanamfahamu vizuri na mtindo wa uchezaji wake wao wakawa wanamchunga yeye tu na kuzuia supply ya mipira isiende kwake.

Ronaldo kwa kuona hapati supply ya mipira nae akaamua kuwa anashuka nyuma ili ajaribu kusaidia counter attack na ndicho kilichokuja kuwasaidia mwishoni.

Portugal kuona hivyo wakawa hawana jinsi na ikabidi wawe wanapokea mashambulizi kwa kujaribu counter attack lakini wakawa pia nao wanazipoteza.

Lakini walipomwingiza Renato Sanchez ambae ndie alietolea pasi Nani ambae akampa Ronaldo kujaribu kufunga hiyo ilikuwa ni hatua ya kujaribu kumaliza game na imefanikiwa hivyo ni uzoefu tu.

Yaani hapo watu watatu Sanchez, Ronaldo na Nani ndio wamefanikisha goli lililofungwa na Quaresma.
 
Eeeh
Ukubwa dawa
Yaan pale kila walicho kuwa wana kiamua kina ronaldo kilikwa sahibi

Ila kina modric pale kat walitawala furesh kabsa, kosa moja ndo lme waua
 
Eeeh
Ukubwa dawa
Yaan pale kila walicho kuwa wana kiamua kina ronaldo kilikwa sahibi

Ila kina modric pale kat walitawala furesh kabsa, kosa moja ndo lme waua

Ni tactics tu za mpira mkuu hakuna ujanja.

Ila Portugal wanaweza kuja kushinda kirahisi dhidi ya Poland ambao nao watamchunga sana Ronaldo na kusubiri kucheza counter attack.

Hiyo ni kwasababu Poland na akina Lewandowski hawajafunga magoli mengi sana kwenye hii Euro 2016, wamefunga magoli 3 katika mechi nne walozicheza.
 
Kwa kweli ngoja tusubir tuone inakaaje hiyo mech
 
Mkuu Italy na Spain ndo mtoano sasa robo wanakutanaje

Sijasema Italy na Spain zinakutana kwenye robo fainali, ila nimetaja timu ambazo zinaweza kufikia kwenye hiyo robo fainali.
 
Renato Sanchez ameingia kuwaokoa Portugal,game ilishawashinda
 
Zinafikaje robo zote wakati hapa mtoano Italy vs Spain

Nilisema hivyo bila kuangalia draw baada ya Ujerumani kushinda mechi yake ya pili kwenye kundi, hivyo nikawa naona kuwa timu 8 za robo fainali zinaweza kuwa ni hizi.

Nilitaja tu hizo timu, lakini Spain ikaharibu kwa kufungwa na Croatia.
 
Nilisema hivyo bila kuangalia draw baada ya Ujerumani kushinda mechi yake ya pili kwenye kundi, hivyo nikawa naona kuwa timu 8 za robo fainali zinaweza kuwa ni hizi.

Nilitaja tu hizo timu, lakini Spain ikaharibu kwa kufungwa na Croatia.
Kwa maana hiyo ulisema kabla nmeelewa mkuu [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Na hata Portugal pamoja na kuwa na Ronaldo hawakutegemea kuifunga Croatia na pia kuwemo kwenye nane bora. Ndiyo sababu wamefurahi sana. Portugal inaweza kabisa kuwa surprise team of the tournament kwa kufika kule ambapo wao wenyewe hawakutarajia kufika na hata football analysts hawakutegemea wafike huko.

Kwa kweli walikuwa hawana sababu ya kutolewa na Ureno, ana squad nzuri, vijana wadogo, na wana depth kulko ureno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…