Safari ya Spain inakaribia kuiva.Wataliano safari imewakuta leo na mchezo wao wa kupaki bus na kutegemea counter attack.
Italy wana vitu flan vichache ambavyo timu nyingi hazinaVubabu vinawin position mbele ya Spain, kazi kwelikweli
BACK TANGANYIKA
Naona unatani na watu flani hivi..Chiellin sio tatizo.Team Azzzuriiiiiiiiiiiiii,Chiellin hoyeeeeee,Suarezi ziiiiiiiiiiiiiiiiii