Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Spain kwisha habari yao kile kilio cha mpira nakisia Pooo Pom Pom Po pom pooo! Ciao Senyor wakale mbele. 2-0
 
Nilihisi Spain watapigwa Counter maana ni wabovu sana kwenye hizo.
 
Hii mechi ilikuwa nzuri sana,kimbembe kati ya Germany na Italia
 
Wamepigwa kipigo cha mbwa mwizi nilivyo kuwa siipendi spain du, bora tu wametoka
 
Back
Top Bottom