Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

uyu #de rossi naye anataka kuwa katili kama #Gattuso infact timu yenye Mbinu bora/kali ndo imeishinda wao wamecheza sisi tu tumefunga...#kati ya Buffon na Kaseja nan ana umri mkubwa zaidi??
 
Wajukuu wa benisto mussolin hawafai roho ngumu hawatizami majina wametoa haki sawa kwa Spain na Belgium.

Ujerumani anamuogopa sana mtaliano maana mpaka yule Legendary wao sijui Franz Beckanbeur (sina uhakika na spelling) anasema bora wakutane na Spain kuliko Italy sasa sijui ni mind sets tu au la.
Lakini ukiangalia mwaka 2006 na 2012 Italy alichomfanyia Germany ilikuwa noma.
 
Ule ukuta wao wa kibibi kizee cha turin upo vizuri mpaka gigi akawa anacheka tu.
 
Back
Top Bottom