Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
Mkuu zimeisha...tupe maoni yakoNgoja nisubiri dakika 90 kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu zimeisha...tupe maoni yakoNgoja nisubiri dakika 90 kwanza
Wajukuu wa benisto mussolin hawafai roho ngumu hawatizami majina wametoa haki sawa kwa Spain na Belgium.Azzzurri,Bravo Italia!
Nilipenda Italy ashinde na ameshindaWe ni italy
We utakuwa BrexitWamepigwa kipigo cha mbwa mwizi nilivyo kuwa siipendi spain du, bora tu wametoka
Sasa wanakutana na wajukuu wa Hitler,nani zaidi,ngumu kutabiriWajukuu wa benisto mussolin hawafai roho ngumu hawatizami majina wametoa haki sawa kwa Spain na Belgium.
Unawazungymzia kina brexit?Tusubirie mavuvuzela hapo saa 4 kelele kibao mpira 0.
Wajukuu wa benisto mussolin hawafai roho ngumu hawatizami majina wametoa haki sawa kwa Spain na Belgium.
Unawazungymzia kina brexit?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipenda Italy ashinde na ameshinda
Kutoka Chile Mpaka Italy[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku ya leo nazdi ku enjoy mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wataliano safari imewakuta leo na mchezo wao wa kupaki bus na kutegemea counter attack.
Wataliano safari imewakuta leo na mchezo wao wa kupaki bus na kutegemea counter attack.
PNC 1 na Mussolini sja jua wako wapi kwa sasaKutoka Chile Mpaka Italy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] safari yenu watalii insignia leoSterling anaanza Leo. Huyu kocha wa England sijui vipi
Ule ukuta wao wa kibibi kizee cha turin upo vizuri mpaka gigi akawa anacheka tu.Ujerumani anamuogopa sana mtaliano maana mpaka yule Legendary wao sijui Franz Beckanbeur (sina uhakika na spelling) anasema bora wakutane na Spain kuliko Italy sasa sijui ni mind sets tu au la.
Lakini ukiangalia mwaka 2006 na 2012 Italy alichomfanyia Germany ilikuwa noma.