Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Hayo ni makundi au sijaelewa jmni, maana kma ni makundi basi hyo POT 1 sioni anayepita
Pot 1 sio kundi izo n timu ziliwekwa pamoja kwny draw wakati wa upangaji wa makundi
 
Nadhani france wana wigo mkubwa wa kubeba ndoo...
1.france
2.germany
3.spain
Wabelgiji majina makuuuubwa ila sioni chemistry ya kuchukua ubingwa
Mkuu usiwadharau jamaa...weka akiba ya maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…