Mr Dumila
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 271
- 537
Umehama UingerezaNiko ujerumani toka 2007
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umehama UingerezaNiko ujerumani toka 2007
HahahaUmehama Uingereza
Hamia Spain au France mmojawapo ni bingwaHahaha
Kabla ya 2007 nlikuwa uingereza, bado nawatakia mema tuu lakini
HahahahaHamia Spain au France mmojawapo ni bingwa
Kiufupi timu isiyokuwa na mchezaji wa Barcelona haiwez twaa ubingwa
Timu itakayotwaa lazma iwe na mchezaji wa BarcelonaHahahaha
Spain akichukua ni mwisho wa dunia huo
Theory yako hapana kwa kweliTimu itakayotwaa lazma iwe na mchezaji wa Barcelona
Wataonyesha zote au wako selective....Kwa wenye king'amuzi cha Azam watapata uhondo kupitia ZBC 2 na KTN