Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahha I know!Yes i knowPamoja na kuwa nina huzuni ya England kutolewa lakini nimetabasamu kusoma hili bandiko lako, you know what I am talking about
Nakuunga Mkono Bora nisitizame mpira kama ilivyo Copa America kuliko kutaka ishinde Ujerumani. kama Italy imeharibu basi Wales na Iceland itabidi kuwa na nyingi. Media za UK zishawageuka Players wanaanza kusema wanalipwa pesa nyingi na hawana Moyo wakuchezea taifa kuliko Club! dah wanawaonea Moyo wa uchungu wanao tatizo timu si nzuri.Ujerumani siji
Maskini England....wanatia huruma kweli!
Eheheheheheeee
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Njoo ujerumani hauna namba
Nimekuelewa sasa MkuuItaly kwa sasa hawana washambulaiji wa kueleweka na wana tatizo la majeruhi (De Rossi,Chielini,Verrati).Italy kwenye mashindano huwa wana tactics ambazo timu nyingi sana hazina
KashatumbuliwaEngland
Smalling. Sterling Rooney stones
England
Nilikuambia mkuu huna timuEngland hii ya akina Delle Alli na Adam Lallana?
HahahahDah! Mkuu wewe unawashangilia hao!? Mie hao siku zote huwaombea mabaya lol! Kila la heri Mkuu.
Mkuu upo sahihiSio kwa england hii wakuu....england ya world cup at least ilikua kali na hawakutoboa......sijui ina gundu gani england.....labda wapandishe viwango b4 june....still there's plenty of time to improve!!
France, belgium, germany, spain wana vikosi vizuri....
Kwa sasa wewe ndio zuzu#SPAIN#. Ukibisha wewe zuzu.
Sio kila siku IjumaaSpain.... kw vile wamechuku ubingw mara mbili naona wanakuw excluded among the favourites.....ila team yao itafik final kama sio kuchukua ubingwa
Bora huyu babu apumzike maana hata sub anazofanya anazidiwa na mshabiki anaeangalia mpira msangangongere.Sana aisee wako nyuma lakini wanacheza kwa mapozi utadhani wako mbele. Meneja wao Roy Hodgson dakika chache zilizopita katangaza kujiuzulu.