Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Ujerumani siji
Nakuunga Mkono Bora nisitizame mpira kama ilivyo Copa America kuliko kutaka ishinde Ujerumani. kama Italy imeharibu basi Wales na Iceland itabidi kuwa na nyingi. Media za UK zishawageuka Players wanaanza kusema wanalipwa pesa nyingi na hawana Moyo wakuchezea taifa kuliko Club! dah wanawaonea Moyo wa uchungu wanao tatizo timu si nzuri.
 
England wangejifunza kitu kimoja waache kuchukua Players kwa Majina na Kusikiliza Media wangeweka kama Kipa Hart,Walker au Clyne 2 na kati Smalling na Stone Kushoto Betrand pale Kulia Antonio wa Westham bila kutizama jina kati welshire na Dele Ali au yoyote kushito Raheem mbele Stu na Rashford then watoe uoga basi wampe timu Gareth Southgate anasema Ian Wright kasema hataki Gary Neville sababu ndio haohao. wanipe timu Mie.
 
Mkuu upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…