Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Mi naona taifa stars wanaweza chukua Euro kwani nadhani wataingia fainali na man city
 
Portugal XI: Patricio; Cedric, Fonte, Pepe, Eliseu; W. Carvalho, Adrien, Joao Mario, Sanches; Nani, Cristiano

Poland XI : Fabianski; Piszczek, Glik, Pazdán, Jedrzejczyk; Blaszczykowski, Krychowiak, Maczýnski, Grosicki; Milik, Lewandowski.
 
Gemu la leo ni kuangalia samba za Ronaldo tu, kijana huyo ananipa raha sana. Ni namzimiaaaaa haswaaaaa
 
Kuna link inayo stream live game hii...msaada pls


Mi naangalia kwa TV, lakini kama unataka kusearch link fanya hivi: Nenda google, halafu andika, "cristiano7". Ingia kwenye page ya juu kabisa. Chagua game unayotaka watakuonyesha links mama 50 hivi.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] piga mbwaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom