Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Mi naona taifa stars wanaweza chukua Euro kwani nadhani wataingia fainali na man city
MIAKA 6 URENO HAIJAWAI FIKA NUSU FAINALI
Kuna link inayo stream live game hii...msaada pls
Calvanho ameshachoka....Beki ya Portugal inatakiwa iache kubutua