Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Italia wanabahati sana ya kupata #mabeki wanaojua shughuli beki #katili anza na #matterazi rafiki yake #zidane,#canavarro fabio,#nesta alexender,#maldini paulo na yule kiungo mwenyerohombaya #gennarogatusso...

Umemsahau Mauro Camorenesi Muargentina aliye badili uraia na kuwa Mtaliano.
 
huko ndio watapoendea ila kumbuka Liverpoolfc ilifungiwa Europe miaka ya nyuma sababu ni Mashabiki.
Upo sahihi,wanaweza fungiwa WASISHIRIKI EURO ya 2020 lkn HUWEZI tolewa mashindanoni hasa ukifika kituoni na kucheza tayari
 
621f64046d54ca8c2954e4a6358aafbc.jpg

Kikosi kizima cha Iceland na wachezaji waliobench kasoro moja majina yao yanaishia na SON
 
Italia wanabahati sana ya kupata #mabeki wanaojua shughuli beki #katili anza na #matterazi rafiki yake #zidane,#canavarro fabio,#nesta alexender,#maldini paulo na yule kiungo mwenyerohombaya #gennarogatusso...
Umenikumbusha Gatusso, katili kweli kweli
 
Wakuu hawa Azam tv ndo wamehamua kutuchezea akil hiv...yaan nmekaa hapa kuanzia saa nne naangalia zbc 2 hamna cha euro wala nin
 
Wakuu hawa Azam tv ndo wamehamua kutuchezea akil hiv...yaan nmekaa hapa kuanzia saa nne naangalia zbc 2 hamna cha euro wala nin
Azam kuonyesha hadi wajiskie asee

Kesho ndo wataonesha leo kapumzike
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom