Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #2,601
Bastian nae kapiga penati kama katoa assist kwa fans
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah akapumzike na ubora wake umri umeenda sasaNafikiri kwa hasira atastaafu.
Lol
Penalt zilikuwa mbovu sana ila zilikuwa nzuri kutizama nimemuonea Huruma Buffon! Respect kwa Buffon! timu zangu zote zimetoka England na Italy! nitaipa Wales tehteh!
Zero kabisa mkuu..Kaingia kwa kazi moja ya penalt halafu anazingua.Hahahahahaha lol! Majonjo mengiiiii results SIFURI
hahahahahah,na siku ya finali team itakayoshinda na kubeba kombe ndo utakuwa upande wakeNipo ujerumani...yaani ni mwendo wa kubadili gia angani mpaka fainali
Zaza kweli ni zaza na penati yake ya mwendokasi
Ningeshangaa sana kama arsenal na man u wangepata penati [emoji41] [emoji41]
yule ndo kaharibu,kawapatikisha na wenzakeZero kabisa mkuu..Kaingia kwa kazi moja ya penalt halafu anazingua.
Game half time mkuu..Kaoshe uso uje tucheki😀😀😀😀😀NDO NAAMKA WADAU
Lol! penalty mwendo kasi shurti uruke ruke kama Chura
Acha tu..Ila penalt zimekua nzuri kwa kweli. Ilikua ni raha kuangaliayule ndo kaharibu,kawapatikisha na wenzake
Kama mshabiki wa magolikipa sababu nilikuwa Kipa hii Pic napata pia maumivu ila Bado kipa mkali wenzake wamemuangusha.
HaaaaNimebaki na timu mbili France na Portugal.
Lakn penalt nazo ndo hazina fundiGerman ana-deserve,kacheza mpira mzuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zaza kweli ni zaza na penati yake ya mwendokasi
Ningeshangaa sana kama arsenal na man u wangepata penati [emoji41] [emoji41]