Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika kuangalia kwangu Mpira C Ronaldo kiboko yake alikuwa Ashley Cole ila kipindi kile jamaa Wing sana alikuwa. Ureno nafasi ndogo sana kwa France hata Mjerumani ila CR7 hatabiriki.
Kafuata ushujaa wa babayake bila shaka.Mwanangu kaniamsha,Griez alivyofunga,hata siku ya Ireland nilienda bedroom kabisa,waliporudisha mwanangu akaniita,mwanangu ni brave sana
Urojo!Huyu refa kala maharage ya wapi!?
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hahaha kala maharage ya FranceHuyu refa kala maharage ya wapi!?
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
HahahahaHahaha kala maharage ya France
Wakoloni wa Tanganyika wanasambarika... Duh Karl Peters yupo wapi?
HahahahaHuyu Refa ingekuwa enzi zile za utawala wa Hitler angefatwa usiku wa manane na watu wa Usalama na asingejulikana kapelekwa wapi.