Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kesho tena Mkoloni sanamu limetolewa Samora zamani! Allez! Allez! sasa Final afungwe huyu mfaransa.
 
Germany die-hard attitude yao tuione sasa... Wakisawazisha nitawasifu
 
toka zitajwe £100m kaambiww nini tena Pogba anataka kucheza na mdundiko humohumo.
 
Watu hawakomi Iceland mbishi kweli damu ilitoka masikioni sasa German anapata internal bleeding kutoka Kwa bingwa wa euro 2016 na world cup 2018
 
Back
Top Bottom