Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Hapa inaelekea goli litapatikana kwa makosa ya kipa/defence ama sivyo mshindi atapatikana kwa mikwaju ya penati.
 
Game linaonekana linaelekea muda wa nyongeza.

Labda kwa France aingie Martial atabadilisha mchezo.
 
Griezmann amekosa magoli 2 so far, angekuwa ni Giroud ingekuwa vita ya 3 ya dunia
 
Back
Top Bottom