Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,923
Fainali haina mbwembwe cheza vyovyote ila usifungwe tuuYaani japo ureno wamezidiwa kila kitu lakini
Fainali inakosa utamu kabisa, hakuna mbinu, hakuna mipango kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fainali haina mbwembwe cheza vyovyote ila usifungwe tuuYaani japo ureno wamezidiwa kila kitu lakini
Fainali inakosa utamu kabisa, hakuna mbinu, hakuna mipango kabisa
Mshaanza kujitetea mapemaaa!!Leo hamchomoki hata Ronaldo angekuwepoLakini tunashinda hivyo hivyo
hahaha...wanazingua sanaWanategeana kama tom na jerry
Tutaona mkuu nani atapotea humuMshaanza kujitetea mapemaaa!!Leo hamchomoki hata Ronaldo angekuwepo
Tusubiri mkuu..Naona mnakoswa tuTutaona mkuu nani atapotea humu
Hizi ndiyo dalili nzuri za ushindiTusubiri mkuu..Naona mnakoswa tu
Hawa nao wanataka watupeleke 120 wakati kesho Jumatatu
Ngoja tuone mkuu...Wanaweza wasifike huko kuna mabadiliko yamefanywa kwa timu zote mbili.
Giroud out na Gignac in
Kwa Portugal Renato Sanchez out na Eda in
Posession 60% ipi hiyo?? Sijaiona mkuuMkuu unaangalia mpira au unaongea kwa kukariri tu? Watu wanacheza possession almost 60% unasema one man team! SMDH
Kocha kachanganyikiwa sema Sanchez leo kama hakua kwenye mchezoKwa kweli kwa kumtoa sanchez mipango ya kocha sija ielewa
Nisha muelewa now aliona kule mbele beki za france zme relax ndo akamua dogo aka kae mbele kuleKocha kachanganyikiwa sema Sanchez leo kama hakua kwenye mchezo
Yaaah mwanzo alikua anapitwa sana na mipiraKocha kachanganyikiwa sema Sanchez leo kama hakua kwenye mchezo
Kocha kachanganyikiwa sema Sanchez leo kama hakua kwenye mchezo