Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Inaelekea Wareno watawanyamazisha Wafaransa. Kitu ambacho sitaki kitokee. Pazi umeweka kidau kwa nani leo?
Timu ya Rubaman na Piers Morgan players soon ni au revoir!!!!! leo ilikuwa C Ronaldo 7/1 kufunga fk 90 na Ureno kushinda watu wa Bet sijui wanajuaje haitotokea.
 
Back
Top Bottom