Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Sasa tuone what France are made of.

Deschamps anataka kumuingiza Martial, it could be too little too late.
Hivi huyu kocha naamini hapendi kumtumia martial!?

Et giroud anaanza mtaalam martial anasugua pu. mbu njee.!!

.... nina zake
 
Waliosema Portugal ni one man team wako wapi?
89034ec3fec1db2cd34b1a9098163c63.jpg
 
France why walimuacha yule Striker wa Seville? au sio mfaransa? leo Ufaransa kutakuwa kimyaaaa!!!!! waombe dk za mwisho goli ila leo Eu Revoir
 
Back
Top Bottom