Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

France why walimuacha yule Striker wa Seville? au sio mfaransa? leo Ufaransa kutakuwa kimyaaaa!!!!! waombe dk za mwisho goli ila leo Eu Revoir
Gameiro ,Laccazete wameachwa while Giroud na Gignac ndio wanaongoza safu,pamoja ya hayo kwa hiki kikosi France walipaswa kubeba ubingwa
 
game over Portugal 1 France 0

Portugal mabingwa wa Euro 2016

eder_de-large_trans++qVzuuqpFlyLIwiB6NTmJwfSVWeZ_vEN7c6bHu2jJnT8.jpg
 
Mjeda Carvalho kati ame worth more money than Pogba na yule Kipara number 10 ni Hatari leo Kashinda Mkoloni Vasco De Gama. mjerumani Ola muengereza Ola na Mfaransa Ola belgium Ola Joke za Messi zitaanza vs c Ronaldo.
 
Haya tutafute wa kumlaumu toka France... Griezmann kakosa magoli , Giroud hajafanya kitu chochote.... Pogba samaki nje ya maji..Alaumiwe nani?
Nasubiri Messi vs Ronaldo7 nani zaidi bullshit kuanza.
 
Back
Top Bottom