Kuelekea fainali Algeria: hiki ndiyo kikosi changu Cha Yanga sc kitakachonipa ubingwa.

Kwa kweli Yanga ni timu ya nchini kwangu Tanzania lakini kusema ukweli siipendi kuliko team nyingine yoyote Hapa ulimwenguni. Lakini ikitokea ikashinda ni sawa Kwa sababu inapeperusha bendera ya nchi yetu. Na ikitokea wamefungwa nitafanyeje sasa? Itabidi nifurahi SANAA NA KUSHEREHEKEA USIKU MZIMA Kwa sababu hata nisipofurahi itasaidia Nini Kwa sababu kombe tayari litakuwa limekwenda?
 
u
endelea kuichukia, utavaa medali.
 
u

endelea kuichukia, utavaa medali.
Medali ya Nini mkuu Kwa sababu wakishinda ama kushindwa siwezi PATA kitu chochote tangible. Hiyo medali nani atanipa na Kwa lipi? Nadhani wewe inaonekana hufurahia post za wale tu wanaojiongelesha kuipenda Yanga.
 
Wewe jamaa bana nilikuwa nakuona unajua mpira ila kwa hii list yako kumtaja kisinda na Aziz Ki nimekuona zero kabisa
 
Haujaandika KAULI MBIU.
 
Kibwana huyu huyu mwenye futu 3? Djuma huyuhuyu mwenye BMI ya 33?
Ngoja tusubiri.
Kibwana hakubaliiii, alitaka kutenguliwa uti wa mgongoo hana hamu tenaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati huo waarabu watakuwa wapiii?
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.


NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
ha
Medali ya Nini mkuu Kwa sababu wakishinda ama kushindwa siwezi PATA kitu chochote tangible. Hiyo medali nani atanipa na Kwa lipi? Nadhani wewe inaonekana hufurahia post za wale tu wanaojiongelesha kuipenda Yanga.
hapana brother, sema kuna ushabiki na chuki, me nafurahia ushabiki wa Team yeyote. lakini sio chuki za wazi kwa Team fulani.
 
1. Diarra
2. Dickson Job
3. Kibwana
4. Bacca
5. Mwamnyeto
6. Bangala
7. Musonda
8. Sure Boy
9. Mayele
10. Mudathir
11. Morrison
Sub: Metacha, Juma Shaban, Lomalisa, Farid Musa, Aziz Kii, Tuisila Kisinda, Jesus Moloko, Clement Mzize, Zawadi Mauya, nk.
 
1. Diarra
2. Dickson Job
3. Kibwana
4. Bacca
5. Mwamnyeto
6. Bangala
7. Musonda
8. Sure Boy
9. Mayele
10. Mudathir
11. Morrison
Sub: Metacha, Juma Shaban, Lomalisa, Farid Musa, Aziz Kii, Tuisila Kisinda, Jesus Moloko, Clement Mzize, Zawadi Mauya, nk.
[emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…