Kuelekea fainali ya Simba Taifa tunaomba muache habari ya Tiketi za bure mnatuharibia mpira

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Sisi kama mashabiki og tunaoenda uwanjani mechi zote za Caf kma mechi za mtoano hakukuwa na Tajiri aliyetununulia tiketi za bure basi fainali napo tunaomba kila mtu alipie ili wapenzi.halisi wa simba tupate nafasi ya kuona fainali

Hii mechi mkiitumia kisiasa sijui mtu.mmoja anunue tiketi 30,000 agawe kwa makundi sijui maalum mwisho wa siku mtaujaza huo uwanja kuliko uwezo wake na mtajikuta mnaingiza wezi.na watu.ambao sio wapenzi halisi wa simba@

Siku zote mkileta cha bure mtakaribisha maafa , mtu unatoka mwanza au south africa unakuja bongo kuitazama timu yako unafika taifa saa 9 unaambiwa uwanja umejaa na tiketi unayo ukichunguza utakuta watu wamenunuliwa tiketi wameingia uwanjani saa 2 asubuhi

Tafadhali msilete ishu ya vya bure
 
Hiyo final ya mashindano ya akina mama hata mkiweka Bure nani ataenda?
 
Kabudi, msigwa hili nalo mkalitazame.
 
Wa Kijani hawachelewi kuleta izo siasa kwenye Game yetu
 
Fainali yenyewe itachezwa uwanja Gani? Hilo shamba la mpunga Kwa mkapa ama?
 
Lolote linaweza kutokea ila naona dalili kubwa za fainali kuchezewa Zanzibar. Jiandaeni kisaikolojia na andaeni mifuko yenu. Mengine sitasema ila tusubiri tuone.
 
Sisi kama mashabiki og tunaoenda uwanjani mechi zote za Caf kma mechi za mtoano hakukuwa na Tajiri aliyetununulia tiketi za bure basi fainali napo tunaomba kila mtu alipie ili wapenzi.halisi wa simba tupate nafasi ya kuona fainali

Hii mechi mkiitumia kisiasa sijui mtu.mmoja anunue tiketi 30,000 agawe kwa makundi sijui maalum mwisho wa siku mtaujaza huo uwanja kuliko uwezo wake na mtajikuta mnaingiza wezi.na watu.ambao sio wapenzi halisi wa simba@

Siku zote mkileta cha bure mtakaribisha maafa , mtu unatoka mwanza au south africa unakuja bongo kuitazama timu yako unafika taifa saa 9 unaambiwa uwanja umejaa na tiketi unayo ukichunguza utakuta watu wamenunuliwa tiketi wameingia uwanjani saa 2 asubuhi

Tafadhali msilete ishu ya vya bure
Kama kutakua na tukio la kisiasa linalohitaji kutulizwa basi watalipiwa tu........kikubwa watu watoke nje ya reli kama wiki hii😁😁 ila bora maana kuna magrup ya whatsap nilikuwepo hizi siku 2 mazungumzo ya siasa yamepoa
 
Lolote linaweza kutokea ila naona dalili kubwa za fainali kuchezewa Zanzibar. Jiandaeni kisaikolojia na andaeni mifuko yenu. Mengine sitasema ila tusubiri tuone.
Haiwezi kupelekwa kule Dar ndio kila kitu na uwanja unaendelea vyema
 
Hiyo final ya mashindano ya akina mama hata mkiweka Bure nani ataenda?
Siku moja moja uwe na akili basi mbona mnapenda kujidharaulisha.

Mnapenda kudhihirisha kauli ya haji manara kwa lazima kwamba wewe sio kikwete wala mzee manara.
 
Hii mihemko ya kombe la shirikisho 😂😂 washika nafasi ya 3&4 KWENYE ligi🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom