Kabudi, msigwa hili nalo mkalitazame.Sisi kama mashabiki og tunaoenda uwanjani mechi zote za Caf kma mechi za mtoano hakukuwa na Tajiri aliyetununulia tiketi za bure basi fainali napo tunaomba kila mtu alipie ili wapenzi.halisi wa simba tupate nafasi ya kuona fainali
Hii mechi mkiitumia kisiasa sijui mtu.mmoja anunue tiketi 30,000 agawe kwa makundi sijui maalum mwisho wa siku mtaujaza huo uwanja kuliko uwezo wake na mtajikuta mnaingiza wezi.na watu.ambao sio wapenzi halisi wa simba@
Siku zote mkileta cha bure mtakaribisha maafa , mtu unatoka mwanza au south africa unakuja bongo kuitazama timu yako unafika taifa saa 9 unaambiwa uwanja umejaa na tiketi unayo ukichunguza utakuta watu wamenunuliwa tiketi wameingia uwanjani saa 2 asubuhi
Tafadhali msilete ishu ya vya bure
Wa Kijani hawachelewi kuleta izo siasa kwenye Game yetuSisi kama mashabiki og tunaoenda uwanjani mechi zote za Caf kma mechi za mtoano hakukuwa na Tajiri aliyetununulia tiketi za bure basi fainali napo tunaomba kila mtu alipie ili wapenzi.halisi wa simba tupate nafasi ya kuona fainali
Hii mechi mkiitumia kisiasa sijui mtu.mmoja anunue tiketi 30,000 agawe kwa makundi sijui maalum mwisho wa siku mtaujaza huo uwanja kuliko uwezo wake na mtajikuta mnaingiza wezi.na watu.ambao sio wapenzi halisi wa simba@
Siku zote mkileta cha bure mtakaribisha maafa , mtu unatoka mwanza au south africa unakuja bongo kuitazama timu yako unafika taifa saa 9 unaambiwa uwanja umejaa na tiketi unayo ukichunguza utakuta watu wamenunuliwa tiketi wameingia uwanjani saa 2 asubuhi
Tafadhali msilete ishu ya vya bure
Huo mwiko hauwez toka kirahisiKama.imekuuma.itoe
Gombani-pembaFainali yenyewe itachezwa uwanja Gani? Hilo shamba la mpunga Kwa mkapa ama?
Kama kutakua na tukio la kisiasa linalohitaji kutulizwa basi watalipiwa tu........kikubwa watu watoke nje ya reli kama wiki hiiππ ila bora maana kuna magrup ya whatsap nilikuwepo hizi siku 2 mazungumzo ya siasa yamepoaSisi kama mashabiki og tunaoenda uwanjani mechi zote za Caf kma mechi za mtoano hakukuwa na Tajiri aliyetununulia tiketi za bure basi fainali napo tunaomba kila mtu alipie ili wapenzi.halisi wa simba tupate nafasi ya kuona fainali
Hii mechi mkiitumia kisiasa sijui mtu.mmoja anunue tiketi 30,000 agawe kwa makundi sijui maalum mwisho wa siku mtaujaza huo uwanja kuliko uwezo wake na mtajikuta mnaingiza wezi.na watu.ambao sio wapenzi halisi wa simba@
Siku zote mkileta cha bure mtakaribisha maafa , mtu unatoka mwanza au south africa unakuja bongo kuitazama timu yako unafika taifa saa 9 unaambiwa uwanja umejaa na tiketi unayo ukichunguza utakuta watu wamenunuliwa tiketi wameingia uwanjani saa 2 asubuhi
Tafadhali msilete ishu ya vya bure
KabisaaaHaiwezi kupelekwa kule Dar ndio kila kitu na uwanja unaendelea vyema
Siku moja moja uwe na akili basi mbona mnapenda kujidharaulisha.Hiyo final ya mashindano ya akina mama hata mkiweka Bure nani ataenda?
Nilichosema siyo matamanio yangu bali uhalisia wa kile ninachoona kinaweza kwenda kutokea.Haiwezi kupelekwa kule Dar ndio kila kitu na uwanja unaendelea vyema