Kuelekea fainali ya Simba Taifa tunaomba muache habari ya Tiketi za bure mnatuharibia mpira

hao watu wa bure ndio wanatusumbua na hawaji kwa ajili ya mapenzi bali ni kujionyesha. Watuache tumalize kama tulivyoanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…