Kuelekea fainali ya UEFA mjini Kiev msimu wa 2017/2018 Liverpool wakichukua ubingwa sitashangaa wala kuona ajabu

R Madrid, Bayern & Barca - sasa hivi hawa wote wanahaha kuomba kwa miungu yao ili Liverpool watolewe usiku wa leo.

YNWA!

Ni bora Man city apite coz ana uzoefu na ucl. Huyo liverpool wenu mtaniambia. Ngoja akutane na Mfalme wa soka kuwahi kutokea ndio mtajuwa nini maana ya uefa.
 
Liver wako vizuri sana Lakini kuna likiumbe linaitwa La Puga usiombe kuwa nalo uwanjan.

Hiki kiumbe acha kabisa.tena naombea wakutane naye awashikishe adabu kidogo, coz mashabiki wa epl wana kelele nyingi sana. Walianza kwa Blauzi wakapigwa nje na Mfalme mwenyewe toto la kiargentina mwenye mpira wake , kwa Man u pia hivyo hivyo akapigwa nje, Sasa wamebaki wawili MAN C NA LIVERPOOL.sasa washaanza kelele zao. Time will tell
 
Ni bora Man city apite coz ana uzoefu na ucl. Huyo liverpool wenu mtaniambia. Ngoja akutane na Mfalme wa soka kuwahi kutokea ndio mtajuwa nini maana ya uefa.
uzoefu? you lost it, dude...

LFC: 5 times UCL champions. ndani ya miaka 13 iliyopita amebeba ndoo 1, amefika 2 finals & 1 semifinal.
MC: UCL champions only once. ndani ya miaka 13 iliyopita kafika 1 semifinal.

YNWA!
 
Kuna mchezaji mmoja ambaye msimu huu amefunga katika kila mechi UEFA na timu yake imeshatanguliza mguu mmoja nusu fainali,naamini hata liver wasingependa kukutana nao.
 
uzoefu? you lost it, dude...

LFC: 5 times UCL champions. ndani ya miaka 13 iliyopita amebeba ndoo 1, amefika 2 finals & 1 semifinal.
MC: UCL champions only once. ndani ya miaka 13 iliyopita kafika 1 semifinal.

YNWA!

Achana na historia mkuu. Sasa mi naona tuyaache haya..tusubiri muda ndio utaongea. Na akiweza kupita basi amekuisha maana kuna BARCA, MADRID NA BAYERN sasa sijui atapumulia wapi. Na Messi kama unavyo mjuwa mzee wa hattrick ananjaa ile mbaya
 
Liverpool anaweza akamfunga Bayern, ila sio wale jamaa wa Spain!

Sevilla tu kashindwa kuwafunga, sioni anapona vipi kwa the big boys Madrid na Barca!

Kuna jamaa alianzisha Uzi kusifia team za EPL 5 kuingia nock out stage, akadiriki kusema team za Laliga hazitafurukuta kwa team za EPL. Sasa hivi ameukimbia Uzi wake!

Usijali mkuu, nitaufukua huu uzi muda ukiwadia!
 
Kombe liende Ujerumani au lije uingereza kupitia Liverpool, japokuwa ni mahasimu wangu, lakini bora tutoleane maneno uku uingereza wenyewe kwa wenyewe kuliko kelele za timu za la liga.... EPL needs to step up next season na pia wajitizame, FA is killing the teams!
 
Mbona hujazungumzia mpira kipindi cha kwanza? Baada ya kupata rungu tatu, kocha ameamua kubadilisha system. Au hujui mpira ndio kwanza uone juzi?
 
Spain ni dunia nyingine hamtaamini kitakachowakuta .........Waulizeni Juventus na PSG ....Superiority ya timu za England ilikuwa miaka hiyo ..............Nyie gombanieni kombe la mbuzi la FA na si UEFA aisee
 
Mimi siyo mshabiki wa Liverpool lakini najua mechi ya leo inaweza kuwa ngumu sana kwake.

Pia naomba Liverpool ashinde ili akapambane na wababe wa Spain.
Ni wakati wa kubadili upepo wa mpira. Tumezoea kuona Ronaldo na Messi pekee.
Sasa ni muda wa Uingereza.
 
Chezea wengine ila sio King, Messi weka mbali na watoto
 
Ni bora Man city apite coz ana uzoefu na ucl. Huyo liverpool wenu mtaniambia. Ngoja akutane na Mfalme wa soka kuwahi kutokea ndio mtajuwa nini maana ya uefa.

Njoo meza huu utumbo wako wa kuku!!
 
Achana na historia mkuu. Sasa mi naona tuyaache haya..tusubiri muda ndio utaongea. Na akiweza kupita basi amekuisha maana kuna BARCA, MADRID NA BAYERN sasa sijui atapumulia wapi. Na Messi kama unavyo mjuwa mzee wa hattrick ananjaa ile mbaya

Huyo Barca hebu mtoe hapo, weka As Roma!!
 
Chezea wengine ila sio King, Messi weka mbali na watoto

Wewe Nimekugundua Kuwa Hujawahi Kupatia Katika Uchambuzi Wako...

Huyo Messi Wako Jana Kakutana Na Wakatoliki Hata Shuti moja Golini lilimshinda Kupiga.

Ni Bora Tu Uje utupe mrejesho..
 
Uzi Sijaukimbia Acha Uongo! Kule Nipo Active.

Haya Naomba Utupe Matokea Ya Barca Kule Kwani ilikuwaje?

Sasa Subiri Tuje Tumkute Hugo Roma MBABE WA WASPAIN ALIYEWAFUNGIA BINGWA WENU UONE TUTAKACHOMFANYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…