Kuelekea fainali ya UEFA mjini Kiev msimu wa 2017/2018 Liverpool wakichukua ubingwa sitashangaa wala kuona ajabu

Ni bora Man city apite coz ana uzoefu na ucl. Huyo liverpool wenu mtaniambia. Ngoja akutane na Mfalme wa soka kuwahi kutokea ndio mtajuwa nini maana ya uefa.


City ana uzoefu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Hebu tuambie Uzoefu Gani Alionao Wakati ni ROBOFAINALIST Wa Kudumu ambaye Katika Historia Yake Hajawahi Kuinusa Hata Nusu Fainali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…