Uuuwiii. Wa kwanza huyu.Simu yangu itaisha chaji saa 9.59 alasiri. Hivyo msiponiona ni issue ya chaji.
Leo Simba Anapata Ushindi Mapema SanaUuuwiii. Wa kwanza huyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubiri wengine. [emoji23][emoji23][emoji23] ila umejua kunivunja mbavu aiseee.
Ongeza sauti basi na mie nimsikie. πππ
Hahahaaa. Lol.Ongea naye vizuri, ila huyu anaonekana alinyeshwa maji ya bendera ya Yanga toka utoto.
Leo ushindi Lazima kivyovyoteOngeza sauti basi na mie nimsikie. [emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo atawachanganya tu leo. Maana saa nyingine namuonaga kama yule Dk Liki yaani anachambua vitu ambavyo mwisho wa siku haviwi kweli.
Hahaaaa. Yamebaki masaa mawili na dkk 58 tu.
Haya Mkuu tusubirie tuone. Ila muda huu chaji simu ili baadae uwepo hewani. πππ
Baada ya mechi tutafutaneHaya Mkuu tusubirie tuone. Ila muda huu chaji simu ili baadae uwepo hewani. [emoji85][emoji85][emoji85]
Eeeewaaaaaaaa. Haya ndio maneno yaani kale ushibe sababu najua mpira ukiisha waeza lala pasi kunywa hata maji kwa machungu.
Nataka uwe mke kabisa unafaa hamsha hamsha unaweza vilivyo presha zitaishaHahahaaa. Lol.
[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ
Umeitwa weeee, naona sasa umejitokeza
Usijali nitaanza mie.