Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Shadeeya hivi mara pah simba kaibuka mshindi point tatu kibindoni
Naweza nizimie aiseee maana katika asilimia 100 nawapa sijui tisa vile au kumi za nyie kuibuka kidedea.

Hahahaaa. Nitamezwa na wana nguvu moja maana ninavyowatesa hapa. Mtanishambuliaje. 😂😂😂😂
 
Kiingilio ni bure maana kuwakabili wachawi inatakiwa nguvu ya kupaza sauti na kukemea mapepo iwe ya hali ya juu
Na uonavyo sauti yao itatosha kweli Mtani au ndio itazidiwa na wale wachache tutakaojumuika kumsupport mwarabu.
 
Naweza nizimie aiseee maana katika asilimia 100 nawapa sijui tisa vile au kumi za nyie kuibuka kidedea.

Hahahaaa. Nitamezwa na wana nguvu moja maana ninavyowatesa hapa. Mtanishambuliaje. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakulinda vilivyo
 
poleni saaana wanasimba, sio kwa mauti inayowapata leo.
 
Back
Top Bottom