Hivi ni kweli Zamoyoni Mogera na Malota soma walicheza zile enzi za 80βs sio 90βs kama nijuavyo mimiFlashBack Klabu Bingwa Afrika 1984/1985; Simba SC waliwachapa National Al Ahly mabao 2-1 kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza ukiwa ni mchezo wa kwanza.
Magoli ya Simba yaliwekwa kimiani na Streika Matata Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' akipokea pasi safi kutoka kwa Malota Soma Ball Juggler na bao la pili lilifungwa na Mtemi Ramadhan akipokea pasi safi ya Zamoyoni Mogella
Kila la heri Mnyama Mkali..Ushindi ndo lengo letu
Sent using Jamii Forums mobile app
πππKila la heri Mafarao
4-0
Hivi watani zangu kina Sapta Sapta, Shunie , King Ngwaba , Mtoto halali na hela, 100 Likes Tui, Sesten Zakazaka , Proved, Van pebles huu uzi hamujauona. πππ
Acheni hizo banaaa.
Hahahaaa. Kweli Waarabu si watu wazuri yaani hadi umeshasahau na kusoma. Lol.
Ngoja nimuite Ghazwat aje akusomee. ππππ
Vp leo unatabirije?
Kutoka moyoni kabisa sina chochote nachotegemea kwenye hii mechi.
Namwomba tu Mungu iwe kama impendezavyo, maana nikimwomba eti tushinde ni kama namshinikiza.
Daaah! Kwa huo mstari wacha tuishie hapo. Maana nimejikuta nayavaa haya maneno kama nimeyaandika mie. ππππ
Ila niseme yawapasa muwe na mawazo haya kwenye kila mechi na hata ile ya Jumamosi Feb 16. Teh teh. ππ
Shikamoo kaka ila ukweli mpaka mnamaliza mechi zote kwenye hii atua mtakuwa mmefungwa sio chini ya goli 23.Kutoka moyoni kabisa sina chochote nachotegemea kwenye hii mechi.
Namwomba tu Mungu iwe kama impendezavyo, maana nikimwomba eti tushinde ni kama namshinikiza.
Uuwiiii. Hivyo anaweza akawezesha mkamfunga mwarabu. Duuuh. πππMungu wetu ni wa ajabu, anawezesha mahali ambapo kwa akili zetu tunaona haiwezekani.
Hiyo ya Jumamosi Feb 16 hayo mawazo yatakuwa yenu, sisi siku hiyo ni kurudisha heshima nyumbani.
Shikamoo kaka ila ukweli mpaka mnamaliza mechi zote kwenye hii atua mtakuwa mmefungwa sio chini ya goli 23.
Uuwiiii. Hivyo anaweza akawezesha mkamfunga mwarabu. Duuuh. πππ
Haya bana. Ila jiandae kiasikolojia hasa ifikapo 16:00Hrs.
Hahahaaaaa. Haya bana.Katika matukio ya kimpira yaliyokuwa ya kimaajabu ni pamoja na Yanga kutoka 0 - 0 na Simba, maana alitegemewa kuchakazwa.
Kwa hiyo kwake Mungu kila kitu kinawezekana.
Hapa Cairo tumechinja ngamia ndio tunachoma tunasubiri saa kumi tule pamoja na mvinyo ambao umekaa wiki mbiliLeo ndio leo jamaani. Wale Waarabu Koko wenzangu tujumuikeni kwa pamoja kuwapa Support Waarabu wenzetu kwa Mchina. [emoji12][emoji12]
Nifah uko wapi Mwarabu Koko mwenzangu. [emoji3][emoji3][emoji3]
wewe unategemea Mungu wenzako wanategemea mganga hapo ndio kazi ipoMungu wetu ni wa ajabu, anawezesha mahali ambapo kwa akili zetu tunaona haiwezekani.
Hiyo ya Jumamosi Feb 16 hayo mawazo yatakuwa yenu, sisi siku hiyo ni kurudisha heshima nyumbani.
Hivi watani zangu kina Sapta Sapta, Shunie , King Ngwaba , Mtoto halali na hela, 100 Likes Tui, Sesten Zakazaka , Proved, Van pebles , brave one, OKW BOBAN SUNZU , toxic9, Simara huu uzi hamujauona. πππ
Acheni hizo banaaa.
Ewaaaaa. Haya ndio mambo sasa. ππππHapa Cairo tumechinja ngamia ndio tunachoma tunasubiri saa kumi tule pamoja na mvinyo ambao umekaa wiki mbili
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk