Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Pole sana Mtani ๐๐๐๐Huu uchokozi mwengine we acha tu!
Nipo hapa kukuombea lile dua uliloniombea kwa JKT Tanzania Mtani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Mtani ๐๐๐๐Huu uchokozi mwengine we acha tu!
Duuuh.wewe unategemea Mungu wenzako wanategemea mganga hapo ndio kazi ipo
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Hahahaaa. Hatari sana Mkuu.Labda mtatushangaza kwa kupigwa sita badala ya khamsa
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
wewe unategemea Mungu wenzako wanategemea mganga hapo ndio kazi ipo
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Dah. Si nilisikia hii mechi itakuwa saa 8 sasa inakuaje tena saa 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo wa kushoto Miguu kama Wabogojo, basi wakiambiwa wafanye mazoezi wananuna wanachokijua starehe na kuifakamia mimama.
Hahahaaa. Hatari sana Mkuu.
Mie nawashauri wajazane tu kama ile mechi na Nkana ili tuone maana halisi ya "Nguvu moja" katika kuyapokea matokeo ambayo kwa asilimia kubwa leo yatakuwa kama sindano.
W'salaam..Nilikuwa napasha misuli moto kwa hao watani wetu...Tusubiri yajayoDaaah.
A'aleykum Mtani!
Nimekuja mkuu Shadeeya leo lengo ni alama tatu kubaki nyumbani..SimbaNguvuMojaHahahaaa. Kweli Waarabu si watu wazuri yaani hadi umeshasahau na kusoma. Lol.
Ngoja nimuite Ghazwat aje akusomee. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vp leo unatabirije?
Hahahaa eti Wabogojo Mzee wa KikulachoHuyo wa kushoto Miguu kama Wabogojo, basi wakiambiwa wafanye mazoezi wananuna wanachokijua starehe na kuifakamia mimama.
Uuuwiiiiii. Basi leo mpira utaokotwa sana nyavuni. Teh tehKumbuka hapa tulipokuwa hapa home Egypt tisa walikuwa wagonjwa kwa heshima wamekuja wote na wanatamani kuonyesha maajabu yao
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Nakazi Nakazia Shemela.Mikia FC mtalia sana tu leo.
Hahahaaaa. Haya bana Mtani kwani kwako huwa sina maneno mengi.W'salaam..Nilikuwa napasha misuli moto kwa hao watani wetu...Tusubiri yajayo
SimbaNguvuMoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuseme Insha Allah.Nimekuja mkuu Shadeeya leo lengo ni alama tatu kubaki nyumbani..SimbaNguvuMoja
Sent using Jamii Forums mobile app