Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

wewe unategemea Mungu wenzako wanategemea mganga hapo ndio kazi ipo

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk

Hakuna aliye zaidi ya Mungu, huyo mganga mwenyewe akimaliza kazi anatamka Mungu saidia hii ifanye kazi.
 
Kwenye hatua ya mtoano, unaruhusiwa Timu mwenyeji kupanga MUDA WA MECHI kabla ya mechi husika! Kwenye hatua ya Makundi, muda wa mechi zote unazipanga mapema na kutuma report CAF kabla hata ya hizo mechi za makundi kuanza! Kwa sasa hairuhusiwi kubadilisha muda wa match!

Kama ni makosa, SIMBA walikosea kupanga muda wa kucheza na mwarabu. SIMBA walivofuzu Makundi, na walipojua wamepangwa na opponents gani, walipaswa kusoma hali za hewa ili mwarabu achezeshwe Saa 6 ama Saa 8!

Azam waliwahi kuwachezesha Bidvests ya SA Saa 8 pale CHAMAZI, Msouth alikaa! Hata SIMBA ile mechi ya kwanza, ni kweli SIMBA walikuwa moto lkn pia Joto la DSM liliwaathiri wale jamaa!
Dah. Si nilisikia hii mechi itakuwa saa 8 sasa inakuaje tena saa 10.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatzo hawa wasemaji wetu na sie mashabiki tunaharbu sana mpira wetu tunapenda mipira ya mdomoni alafu mwisho wa siku tunafungwa kama watot wadogo ona sasa na leo wale jamaa hata sijui kama watatuacha salama kama sio 3 sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka hapa tulipokuwa hapa home Egypt tisa walikuwa wagonjwa kwa heshima wamekuja wote na wanatamani kuonyesha maajabu yao
Hahahaaa. Hatari sana Mkuu.

Mie nawashauri wajazane tu kama ile mechi na Nkana ili tuone maana halisi ya "Nguvu moja" katika kuyapokea matokeo ambayo kwa asilimia kubwa leo yatakuwa kama sindano.

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
KILA KITU KINAWEZEKANA TUNATAKIWA TWENDE kwa kujiamini sio kama underdogs.....hata draw itaamsha upya ari ya wadau/wapenzi/wanachama woteeeeee
 
Back
Top Bottom