Naweza nizimie aiseee maana katika asilimia 100 nawapa sijui tisa vile au kumi za nyie kuibuka kidedea.Shadeeya hivi mara pah simba kaibuka mshindi point tatu kibindoni
Pole sana Mtani. Ila ndio kweli hiyo ujue. ππHii picha nimecheka sio kwa mazuri nimechekea kwa maumivu
Mtoto halali na hela muache tu anapiga dua ili mambo yakae sawa vijana wakapigemoira wa Internationaliiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaani.
Namtafuta Mtoto halali na hela juzi aliniambia saa hii atakuwepo hapa cha ajabu simuoni. [emoji23][emoji23] Ukimuona huko niitie bana.
Umeibuka kutoka makaburiniPole sana Mtani. Ila ndio kweli hiyo ujue. [emoji12][emoji12]
Mnatuchanganya mtuache tuwe focusAtuwachawii bana. [emoji3][emoji3][emoji3]
Tatizo mna maneno mingi hivyo tunapenda sana zikifika saa kaa hizi yaani mnakuwa wapole mbaya.
Na uonavyo sauti yao itatosha kweli Mtani au ndio itazidiwa na wale wachache tutakaojumuika kumsupport mwarabu.Kiingilio ni bure maana kuwakabili wachawi inatakiwa nguvu ya kupaza sauti na kukemea mapepo iwe ya hali ya juu
Aaah. Wapi.Nyavu za upande wa pili
Nitakulinda vilivyoNaweza nizimie aiseee maana katika asilimia 100 nawapa sijui tisa vile au kumi za nyie kuibuka kidedea.
Hahahaaa. Nitamezwa na wana nguvu moja maana ninavyowatesa hapa. Mtanishambuliaje. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Itakuwa aiseee. Maana waswahili wanasema Kimya kingi kina mshindo.Mtoto halali na hela muache tu anapiga dua ili mambo yakae sawa vijana wakapigemoira wa Internationaliiiiii
Hahahaaa. Kumbuka juzi tumeonana wapi au umeshasau?
Kula TANO aiseee. Uko sahihi kabisaaa. π
Tulia namsikiliza mwalimu kashashaHahahaaa. Kumbuka juzi tumeonana wapi au umeshasau?
Niseme tu leo kazi mnayo tena sio ndogo.
Etiii eeee. Tutawawacha ila kwa sasa pateni tumbo joto kwanza. ππMnatuchanganya mtuache tuwe focus
Bora aisee maana nitakuwa kadogo zaidi ya Piriton.Nitakulinda vilivyo
Pole ya kimbea mbeapoleni saaana wanasimba, sio kwa mauti inayowapata leo.