Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Umeshachangia lile bakuli la mchango? Maana style yenu ni ya pekee!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, sisi tunachanga wengi lakini nyie mnachangiwa na mtu mmoja so far. Msubiri hadi muanze kuendesha club kwa hela za club sio za Mo, ndiyo mpate haki ya kutucheka.
For the time being, Yanga iko more sustainable. Mo akiondoka ghafla mtapata gharika.
 
Wewe Simba wa wapi? Hawa unao wabeza ndo wametufikisha hatua hii.

Na hiyo timu yako yenye Vijana chini ya miaka 18 akina Tambwe, Kamusoko na Yondani kwa miaka mitatu mbona hawakufika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu simba nikwamba mkiambiwa ukweli mnamalizia machungu kuikosoa yanga.Mmesajili wachezaj wengi lakin bado mnapigwa 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo style ya kusubiri matokeo ndipo ushangilie hakuna duniani kote.

Na mawazo yenu kama hayo yangesikilizwa basi hata makundi Simba isingefika.

Nakukumbusha tu Simba imewahi kufika nusu fainali Klabu bingwa Afrika

hivi ninyi wanazi wa hizi timu mbili za kichawi za mbumbumbu fc na vyura sc..... kwa nini msiwe mnasubiri matokeo ya uwanjani badala yake mnakalia kupiga tu ramli huku uwezo wenu ni mediocre?

yaani hadi inaudhi kwa kweli. timu zetu zote za Tanzania zimeshindwa kufurukuta vs second tiers za hapo Kenya kwenye Sportpesa tournament halafu eti mnatamba mtashinda vs the likes of Al Ahly? get a freaking life you people!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo style ya kusubiri matokeo ndipo ushangilie hakuna duniani kote.

Na mawazo yenu kama hayo yangesikilizwa basi hata makundi Simba isingefika.

Nakukumbusha tu Simba imewahi kufika nusu fainali Klabu bingwa Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
halafu ikachukua kombe au?

ukisikia mediocrity ndiyo hii sasa..
 
Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) Jumanne ya Februari 12 watakuwa kwenye uwanja wa Taifa kupigana dhidi ya Al Ahly kutoka nchini Misri.

•••Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa

Ni mechi kali ambayo kwa Simba SC itakuwa ni ya kulipa kisasi kwa wachenzaji, mashabiki na wanachama wa Simba SC pamoja na wadau wa soka kufuatia matokeo ya kipigo cha mabao 5 katika mjini Alexandria nchini Misri.

•••Lakini Mnyama Mkali Simba SC Anasema

"hatushindwi kwani tunaweza na tumejiandaa kuhakikisha kuwa alama 3 za nyumbani zinabaki hapa hapa nyumbani".

Yamesemwa mengi sana hapa Tanzania, kutoka kila pande hasa upande wa pili ambao wanawaogopa sana waarabu, lakini Simba SC itaishangaza dunia kwenye uwanja wa Taifa.

Kilichowakuta Zamalek ya Misri dhidi ya Gormahia ya Kenya kwenye Kombe la Shirikisho, ndicho kitawakuta Mafarao wa Al Ahly japo wengi hawaamini lakini ndo hali halisi ilivyo.

•••Haya twendeni WANALUNYASI Taifa hatushindwi

View attachment 1019785

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah. Si nilisikia hii mechi itakuwa saa 8 sasa inakuaje tena saa 10.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lenu simba nikwamba mkiambiwa ukweli mnamalizia machungu kuikosoa yanga.Mmesajili wachezaj wengi lakin bado mnapigwa 5

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema wachezaji wengi unamaanisha nini? Inamaana Simba imesajili kinyume na taratibu za soka je wako 50

Kama unaweza jibu swali nililomuuliza huyo mwenzako kama unaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, sisi tunachanga wengi lakini nyie mnachangiwa na mtu mmoja so far. Msubiri hadi muanze kuendesha club kwa hela za club sio za Mo, ndiyo mpate haki ya kutucheka.
For the time being, Yanga iko more sustainable. Mo akiondoka ghafla mtapata gharika.
Jumapili sidhani kama mtakuwa hewani humu.
 
Mkuu..Ile ni Kampuni tayari kwahivyo ni kiasi cha kutangaza zabuni wakajitokeza.

Simba ilipitia kipindi kigumu wakati ninyi mpo na Manji lakini haikufikia kama Yanga, mchango mpaka uwanjani..!
Mkuu, sisi tunachanga wengi lakini nyie mnachangiwa na mtu mmoja so far. Msubiri hadi muanze kuendesha club kwa hela za club sio za Mo, ndiyo mpate haki ya kutucheka.
For the time being, Yanga iko more sustainable. Mo akiondoka ghafla mtapata gharika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nimekufahamisha hatua kubwa kuliko hiyo Yanga yako..

Na kama ilifikia hivyo Simba inaelekea kuchukua hata kwa miaka mitano mbeleni au zaidi kutokana na dhamira iliyowekwa.

Hakuna timu inayosema leo naenda kufungwa
halafu ikachukua kombe au?

ukisikia mediocrity ndiyo hii sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom