[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usijali Mtani tag langu litakuhusu. [emoji2][emoji2][emoji2]
Mbona nyie hatuwasemi jamaniHahaha mkuu Ghazwat aliomba mainjinia tumsomee.
Mkuu magnifico Yale ya Jana ni zaidi ya zile tano Taifa usitotoe kwenye reli.[emoji23][emoji3]Hahaha mkuu Ghazwat aliomba mainjinia tumsomee.
π€£π€£π€£π€£ kiaje sa Mtani?Mkuu magnifico Yale ya Jana ni zaidi ya zile tano Taifa usitotoe kwenye reli.[emoji23][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unarekodi ya kufungwa tanoHahahaaaa. Noumer sana.
Eti "tano ni goli basi" kweli kufungwa ni kitu ingine Mtani. Wakati mlivyomfunga Yanga mliziona nyiiiingi. [emoji28][emoji28][emoji28]
Haya bana Mtani Siku njema.
Nipo Mtoto. Usije yakimbia hasa pale utakaporaruliwa wewe.
[emoji23]nipoNipo Mtoto. Usije yakimbia hasa pale utakaporaruliwa wewe.
Sawa kuwepo. Bado masaa 4 na dkk chache.
Mtoto hapo kuna mshabiki wa nguvu moja mwenzio ndio aliyasema hayo na si maneno yangu Ujue.
Hahaaa. Umeshaanza kujihami. π€£π€£π€£ maana ikiwa hivi basi umeme unarudi saa mmepata bao.
I mean zile tano za Simba kwa YangaMtoto hapo kuna mshabiki wa nguvu moja mwenzio ndio aliyasema hayo na si maneno yangu Ujue.
Nitakuwepo kuona tu mechi ndio sitoonaHahaaa. Umeshaanza kujihami. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oooh. Ni kweli si uongo Mtoto mlitufunga ndio ila kimazabe mazabe. πππ
Ooh. Basi nikipata Chance nitakuwa nakupa updates. πππ
Ngoja tukutane tena halafu mcheze kama jana hakika ni dozenOooh. Ni kweli si uongo Mtoto mlitufunga ndio ila kimazabe mazabe. [emoji126][emoji126][emoji126]