Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usijali Mtani tag langu litakuhusu. [emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usijali Mtani tag langu litakuhusu. [emoji2][emoji2][emoji2]
Mbona nyie hatuwasemi jamaniHahaha mkuu Ghazwat aliomba mainjinia tumsomee.
Mkuu magnifico Yale ya Jana ni zaidi ya zile tano Taifa usitotoe kwenye reli.[emoji23][emoji3]Hahaha mkuu Ghazwat aliomba mainjinia tumsomee.
🤣🤣🤣🤣 kiaje sa Mtani?Mkuu magnifico Yale ya Jana ni zaidi ya zile tano Taifa usitotoe kwenye reli.[emoji23][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unarekodi ya kufungwa tanoHahahaaaa. Noumer sana.
Eti "tano ni goli basi" kweli kufungwa ni kitu ingine Mtani. Wakati mlivyomfunga Yanga mliziona nyiiiingi. [emoji28][emoji28][emoji28]
Haya bana Mtani Siku njema.
Nipo Mtoto. Usije yakimbia hasa pale utakaporaruliwa wewe.
[emoji23]nipoNipo Mtoto. Usije yakimbia hasa pale utakaporaruliwa wewe.
Sawa kuwepo. Bado masaa 4 na dkk chache.
Mtoto hapo kuna mshabiki wa nguvu moja mwenzio ndio aliyasema hayo na si maneno yangu Ujue.
Hahaaa. Umeshaanza kujihami. 🤣🤣🤣 maana ikiwa hivi basi umeme unarudi saa mmepata bao.
I mean zile tano za Simba kwa YangaMtoto hapo kuna mshabiki wa nguvu moja mwenzio ndio aliyasema hayo na si maneno yangu Ujue.
Nitakuwepo kuona tu mechi ndio sitoonaHahaaa. Umeshaanza kujihami. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oooh. Ni kweli si uongo Mtoto mlitufunga ndio ila kimazabe mazabe. 💃💃💃
Ooh. Basi nikipata Chance nitakuwa nakupa updates. 😜😜😜
Ngoja tukutane tena halafu mcheze kama jana hakika ni dozenOooh. Ni kweli si uongo Mtoto mlitufunga ndio ila kimazabe mazabe. [emoji126][emoji126][emoji126]