Matokeo mazuri ni haki yetu! Nguvu mojaAnga za Kimataifa ndo za mnyama, sisi si kama wao ni rahisi kumeza, sisi ni ngumu kumeza!..This Is Simba SC
Pamoja sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya mechi sidhani kama utaonekana humu,huu moto ni wa petrol huwez kuuzima kwa maji!Watani zangu huu moto muendelee nao mpaka jumapili sio kesho jioni tu hatuwaoni humu.
Zena Kolibali kesho atawaongoza kucheza sebene la AS VitaBaada ya mechi sidhani kama utaonekana humu,huu moto ni wa petrol huwez kuuzima kwa maji!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu masihara hayo hii game sio za majaribio, kwa mfano kagere akiingia sub baada ya kuusoma mchezo nafasi yake atachukua nani?kagere ni mtu hatari sana pale mbele hatatuangusha, ila pia natamani atokee bench ni super sub yani ndiyo anakua na mchachali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria pia ya kwamba yawezekana hawa Saoura kwao wapo vizuri hivyo Simba huenda ikafungwa na Saoura mechi ya marudiano Algeria.Hawa alahly wa kawaida sana dar hawatoki naona leo wameponea padogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba uwanja wa taifa tayari Ana points 9Fikiria pia ya kwamba yawezekana hawa Saoura kwao wapo vizuri hivyo Simba huenda ikafungwa na Saoura mechi ya marudiano Algeria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaitafuta points 2 au 3 awayFikiria pia ya kwamba yawezekana hawa Saoura kwao wapo vizuri hivyo Simba huenda ikafungwa na Saoura mechi ya marudiano Algeria.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππLunyasi [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] Amekaa sehemu sahihi au unaonaje Mtani
Sent using Jamii Forums mobile app