Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, AS Vita Club dhidi ya Simba SC, Injinia Ngapi?

Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, AS Vita Club dhidi ya Simba SC, Injinia Ngapi?

Hilo hakuna Mtani, mlituombea toka mwazo kushindwa lakini sasa taratibu mnaanza kukubali namna moto wa Simba unavyokimbiza rubaa za Kimataifa

This Is Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa. Mi ntakubali mkishapata matokeo kwenye mechi tatu za mwanzo na kutosha kibindoni ila nje ya hapo naiona safari ya kurudi kupasha viporo ileeeee.
 
Kwenye mpira yote yawezekana..Walisema Nkana na Js Saoura (Waarabu) ndo mwisho, lakini baada ya matokeo walibatizwa Js Saoura kuwa Wahindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Ndio Wahindi wale. 🙈🙈🙈

Nawasubiria Mtani! Kesho mchana najiona sitakuwa na Chance ya kuingia humu ila jumapili asubuhi nawadamkia. Nione mlivyokuwa wadogo.
 
Hahaaa. Mi ntakubali mkishapata matokeo kwenye mechi tatu za mwanzo na kutosha kibindoni ila nje ya hapo naiona safari ya kurudi kupasha viporo ileeeee.
Mkuu.. Alama Tisa zitapatikana kwenye dimba la Mchina, hakuna kidume atakayeleta zake pale, na huko nje kuna MTU atajikwaa tu. Tumujipanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watani zangu huu moto muendelee nao mpaka jumapili sio kesho jioni tu hatuwaoni humu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuwacheeee
 
Back
Top Bottom