Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #21
Kwenye mpira yote yawezekana..Walisema Nkana na Js Saoura (Waarabu) ndo mwisho, lakini baada ya matokeo walibatizwa Js Saoura kuwa Wahindi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo wataka kusema mtafurahi mpaka mwisho? Sidhani hii kitu
Sent using Jamii Forums mobile app