Ahly huenda ni wa kawaida wakiwa ugenini.Hawa alahly wa kawaida sana dar hawatoki naona leo wameponea padogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba imewafanya wabadili uraia kila kukicha juzi walikuwa waarabu leo wakongo.Nyie Wakongo wa Tanzania mtatulizwa kwa wengine tu, Simba SC ni timu kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kweli simba ni wazuri ila nimekuja kugundua ili kundi ni gumu sana waweza shangaa anapita simba na j saura maana jana kwao wameupiga mkubwa uwezi fikili niwale waliofungwa tatu pale taifa ila ngoja tuone mechi ya leo pengine itatufungua macho tulio wengi.Simba imewafanya wabadili uraia kila kukicha juzi walikuwa waarabu leo wakongo.
Kilichowafungisha taifa ni hali ya hewa, na hata Al ahly nao kuna asilimia kubwa ya kushindwa kupata matokeo Taifa, sababu ni hali ya hewa. Laiti kama mechi ingechezwa usiku sidhani kama Simba ingeweza kumgalagaza timu ya Saoura namna ileInawezekana kweli simba ni wazuri ila nimekuja kugundua ili kundi ni gumu sana waweza shangaa anapita simba na j saura maana jana kwao wameupiga mkubwa uwezi fikili niwale waliofungwa tatu pale taifa ila ngoja tuone mechi ya leo pengine itatufungua macho tulio wengi.
Gongowazi leo wako DRC, wana tabia ya kuhama hama timu..Na kwa namna yao hiyo ipo siku watajikuta wanaishangilia Simba SCWale mliosema simba ilimfunga kibonde (al soura) mko wap? naona sasa mmeanza kuwasifia kuwa ni wazur[emoji23][emoji23][emoji23] gongo wazi bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajitume mara 2 ya walivyofanya taifa dhidi ya Nkana watapata matokeo... Mechi za ugenini ngumu sanaLeo ndo Leo
Kwa Babu Rada inasoma
As Vita 1 Simba SC 3
Okwi
Kagere
Own goal
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza lini kuona Future?sioni namna simba akitoka salama leo
Yes..Tunataka Simba wenye uelewa kama wewe...!Ni muda sahihi Simba kurudi kileleni mwa kundi
Vita Ni wazuri Ila Simba Ni wazuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app