Kuelekea Jumamosi Upande Mmoja Taaban

Kuelekea Jumamosi Upande Mmoja Taaban

Labda ni ile timu ambayo toka ilivyocheza tarehe 30 november haijacheza tena kazi yao ilikua ni kufanya tu mazoezi kwa ajili ya kumsubiria mkubwa tarehe 11 december. tarehe 11 ngoma inapigwa kama kawaida kumwadabisha mtoto aliyepata muda mrefu wakujiandaa wakati wakubwa zake wanalipambania Taifa. haina kuremba.mkubwa atishiwi nyau.
 
Back
Top Bottom