Watu wengi wa yanga sio watu wa mpira wao wanatambulika kwa jina la "Yanga yangu" yani wao ni Yanga tuu...ila mashabiki wengi wa mnyama tunapenda mpira misimu minne hatujatwaa ubingwa ila mechi zenu zinajaa na wakija wageni tunaenda kuangalia burudani,hi ndo tofauti ya Mnyama na wale wa matopeni"Brother's from the desert" hapo umejikwaa...mara ngapi mlijazana Taifa kushangilia wageni??? mechi ya TP Mazembe Manji aliondoa viingilio cha ajabu Mikia walijazana toka asubuhi..angalia mechi zenu watu wa Yanga hawana tabia ya kujazana uwanjani kushangilia labda "wakuja" wachache...The citizen
Mapaka.hayapati bao.Nkana 2 Mikia 1
Upo seriously kabisa?basi Taifa umeanza kwenda mwaka huuUjui kua mashabiki wa Yanga ni wachache kuliko wa simba, ni lini mashabiki wa Yanga mliweza kuujaza uwanja kwenye mechi yenu?
Pili angalia kwenye mechi za simba na Yanga ni mashabiki gani wqnakua wengi
Nyie Ndala fc uzalendo ni ngumu sana kwenu eti?Maneno mengi hayatendi, tukutane Taifa
Narudia kukwambia tena,umeanza kwenda Taifa baada ya Mikia kuchukua Ubingwa msimu uliopita.Watu wengi wa yanga sio watu wa mpira wao wanatambulika kwa jina la "Yanga yangu" yani wao ni Yanga tuu...ila mashabiki wengi wa mnyama tunapenda mpira misimu minne hatujatwaa ubingwa ila mechi zenu zinajaa na wakija wageni tunaenda kuangalia burudani,hi ndo tofauti ya Mnyama na wale wa matopeni
Ko wewe unaangalia historia , ndo mana wanasema Yanga ni timu ya wazeeUpo seriously kabisa?basi Taifa umeanza kwenda mwaka huu
Wewe umeangalia nini? Na Mikia ni MambumbumbuKo wewe unaangalia historia , ndo mana wanasema Yanga ni timu ya wazee
Mi nilikua naendelea kwenda taifa ,hizo kasumba wanazo matopeni fcNarudia kukwambia tena,umeanza kwenda Taifa baada ya Mikia kuchukua Ubingwa msimu uliopita.
Wazew hao hao wamebeba mataji mara nyingi zaidi ya timu ya vijana.Ko wewe unaangalia historia , ndo mana wanasema Yanga ni timu ya wazee
Umenikumbusha timu yetu ya Taifa matumaini yakiwa makubwa kilio kikubwa utokea ,ila tukiwa hatuna matumaini mambo mazuri utokeawakati wa matumaini makubwa kilio kikubwa huja
Mataji ya mashindano yote au?Wazew hao hao wamebeba mataji mara nyingi zaidi ya timu ya vijana.
Uzalendo kuishabikia mikia?Nyie Ndala fc uzalendo ni ngumu sana kwenu eti?
Mimi Tz naiogopa kama ukoma, wakati wa matumaini makubwa kilio kikubwa huja, Nafunga vidole vyangu kusubiria keshokutwa