Kuelekea Jumapili:Kumbukumbu yangu ya Simba SC vs Nkana FC mwaka 1994.

Kuelekea Jumapili:Kumbukumbu yangu ya Simba SC vs Nkana FC mwaka 1994.

"Brother's from the desert" hapo umejikwaa...mara ngapi mlijazana Taifa kushangilia wageni??? mechi ya TP Mazembe Manji aliondoa viingilio cha ajabu Mikia walijazana toka asubuhi..angalia mechi zenu watu wa Yanga hawana tabia ya kujazana uwanjani kushangilia labda "wakuja" wachache...The citizen
Watu wengi wa yanga sio watu wa mpira wao wanatambulika kwa jina la "Yanga yangu" yani wao ni Yanga tuu...ila mashabiki wengi wa mnyama tunapenda mpira misimu minne hatujatwaa ubingwa ila mechi zenu zinajaa na wakija wageni tunaenda kuangalia burudani,hi ndo tofauti ya Mnyama na wale wa matopeni
 
Ujui kua mashabiki wa Yanga ni wachache kuliko wa simba, ni lini mashabiki wa Yanga mliweza kuujaza uwanja kwenye mechi yenu?
Pili angalia kwenye mechi za simba na Yanga ni mashabiki gani wqnakua wengi
Upo seriously kabisa?basi Taifa umeanza kwenda mwaka huu
 
Watu wengi wa yanga sio watu wa mpira wao wanatambulika kwa jina la "Yanga yangu" yani wao ni Yanga tuu...ila mashabiki wengi wa mnyama tunapenda mpira misimu minne hatujatwaa ubingwa ila mechi zenu zinajaa na wakija wageni tunaenda kuangalia burudani,hi ndo tofauti ya Mnyama na wale wa matopeni
Narudia kukwambia tena,umeanza kwenda Taifa baada ya Mikia kuchukua Ubingwa msimu uliopita.
 
Tatizo wachezaji wanao cheza Tanzania wanaridhika haraka sana
 
Back
Top Bottom