Mlete timu uwanjani, mkisema gari imepata pancha tutawatumia helicopter muwahi kufika, 5-0 zitawatosha.Hatuwahofii [emoji196] fc
Hatunaga visingizio hivyoMlete timu uwanjani, mkisema gari imepata pancha tutawatumia helicopter muwahi kufika, 5-0 zitawatosha.
Kwa mazoezi haya..... SIMBA watakoma🤣🤣Mlete timu uwanjani, mkisema gari imepata pancha tutawatumia helicopter muwahi kufika, 5-0 zitawatosha.
UHata Simba angekuwa anacheza Uefa hawez kutufunga sisi.
Uto ni pira kisinda, pira marathoni, pira lisiloeleweka.Kwanza yanga hawachezi pira gwaride hata siku moja
Morrison tutamkabidhi kwa Shaibu Ninja ili aumizwe chapchap, atajua hajuiMorrison bwana [emoji23][emoji23]View attachment 1756883