Kuelekea Kariakoo Derby 8 May

Kuelekea Kariakoo Derby 8 May

Katomlb

Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
52
Reaction score
64
MAONI YANGU KWA SIMBA NDANI YA KARIAKOO DERBY

Simba kuwa makini sana na wachezaji hasa hasa wale wote machachari kuna uwezekano UTOPOLO wakawaumiza wote kwa pira gwaride, hivyo 8 may kwenye derby hiyo kunawezekana wakakosa kucheza klabu bingwa ROBO FAINAL yangu hayo tu
 
Morrison bwana [emoji23][emoji23]
IMG-20210419-WA0075.jpg
 
Hata Simba angekuwa anacheza Uefa hawez kutufunga sisi.
 
Mlete timu uwanjani, mkisema gari imepata pancha tutawatumia helicopter muwahi kufika, 5-0 zitawatosha.
Kwa mazoezi haya..... SIMBA watakoma🤣🤣
 

Attachments

  • VID-20210307-WA0058.mp4
    631.4 KB
Kuna pila kwaride kama walilocheza Prison walipokutana na Simba?
Kwanza wachezaji wa pila gwaride kwa Yanga siwaoni pale.
 
Pira gwaride hao wanaishinda na vioo kama dada zao kukalikiti wanautoa wapi
 
Back
Top Bottom