Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Raundi ya kwanza timu ya YANGA iliibuka na ushindi mnono dhidi ya SIMBA kuna mwamba mropokaji hapa jukwaani akasema Yanga iliroga na kuhonga walinzi pia walimwaga dawa vyumba vya kubadilishia nguo,nataka kushauri uongozi wa SIMBA mapema kabla matokeo kwamba wafanyie kazi hay Kama mpira Uchawi waanze mapema kuroga na hata kuwalipa walinzi ili waweze kuwafunga YANGA kama wanavyojinadi.
Bila kusahau kusimamisha na kutuhumu wachezaji wenu.
LITAKUFA JITU.
Bila kusahau kusimamisha na kutuhumu wachezaji wenu.
LITAKUFA JITU.