Kuelekea Kariakoo derby

Kuelekea Kariakoo derby

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Hapa wahenga mnasemaje?
Screenshot_20230406-095614_Instagram%20Lite.jpg
 
Kama ndio hivyo Nigeria Angekuwa anachukua KOMBE LA DUNIA KILA SIKU.

Mpira ni uwekezaji.

Waalimu Wa michezo
MAKOCHA.
Uongozi Bora.
Timu za Vijana 10, 12, 15, 17, 23 nk
Viwanja Bora
Viwanja Vya mazoezi.
Madaktari wa Chakula, MICHEZO.
Vifaa Tiba nk.


MPIRA SIO NDUMBA TUTOLEE UPUMBAAAAAAFU WAKO HAPA.
 
ni vile tu hizi ni mila na hawa wanaoitwa wazee wa club flan ni waumini wakubwa wa uchawi hvyo wanalazimisha hizi jadi ziendelee, lakini uhalisia ni kuwa mpira ni sayansi, ufundi wa mwalimu, uwezo wa wachezaji pamoja na bidii uwanjani ndivyo vinavyoleta ushindi, hvyo nawasii wazee wa simba na yanga waache kulazimisha ulozi kwenye mpira wa kisasa, maana hakuna uchawi ulioshinda kombe
 
Kuna team inaroga bongo kushinda yanga.
Bora hata Yanga! Simba ndiyo balaa. Huwa hawaoni aibu kufanya vitendo vya kishirikina, hadharani.

Au ule tuweke ushahidi wa kuchoma moto karatasi uwanjani, au ule uchawi wa wa kurudisha basi kinyume nyume?
 
Back
Top Bottom