Kuelekea Klabu Bingwa Afrika | Simba SC dhidi ya As Vita Club Tunaendelea Tulipoishia

Kuelekea Klabu Bingwa Afrika | Simba SC dhidi ya As Vita Club Tunaendelea Tulipoishia

Mimi nimeota Simba kapigwa moja,baadae Simba wakarudisha mechi ikaisha draw ya moja moja.
Kwangu nimewaza Simba wameanza kuwachosha AS Vita kwa kidude kimoja ambacho wamehangaika nacho bila mafanikio hadi HT; kisha kipindi cha pili wakapoteana As Vita kabisa
 
Azam wataonyesha kwa kutumia channel gani, wanaboa sana wanaiweka ZBC2 halafu ZBC2 haionekana kwa kutumia app yao ...
Super sport wataonyesha kwa channel no ngapi ?
Wenye link pia mtasaidie mapema
 
Kwangu nimewaza Simba wameanza kuwachosha AS Vita kwa kidude kimoja ambacho wamehangaika nacho bila mafanikio hadi HT; kisha kipindi cha pili wakapoteana As Vita kabisa
Hii mechi haina magoli mengi.nawaona As Vita na mashambulizi ya counter attack.
Nawaona Simba watapiga pasi nyingi zitakazo tengeneza nafasi nyingi lakini magoli ya Simba hayatozidi mawili.
 
images (4).jpg
 
Back
Top Bottom