Kwangu nimewaza Simba wameanza kuwachosha AS Vita kwa kidude kimoja ambacho wamehangaika nacho bila mafanikio hadi HT; kisha kipindi cha pili wakapoteana As Vita kabisaMimi nimeota Simba kapigwa moja,baadae Simba wakarudisha mechi ikaisha draw ya moja moja.
Hii mechi haina magoli mengi.nawaona As Vita na mashambulizi ya counter attack.Kwangu nimewaza Simba wameanza kuwachosha AS Vita kwa kidude kimoja ambacho wamehangaika nacho bila mafanikio hadi HT; kisha kipindi cha pili wakapoteana As Vita kabisa
Wasije.wakamalize kwanza kazi za kupiga deki na kufunga vitanda kwenye hostel za wachezaji wao pale Jangwani.Mkuu acha waje. Utopolo wana gundu kila timu wanayo shobokea Simba SC inaibuka na ushindi.
Sawa Dada mvaa vjoraHilo hilo basmati watakuta mchanga chini
kesho Simba anapigwa mbili kavu....
Azam wataonyesha kwa kutumia channel gani, wanaboa sana wanaiweka ZBC2 halafu ZBC2 haionekana kwa kutumia app yao ...
Super sport wataonyesha kwa channel no ngapi ?
Wenye link pia mtasaidie mapema
😁 😁 😁 😁Wasije.wakamalize kwanza kazi za kupiga deki na kufunga vitanda kwenye hostel za wachezaji wao pale Jangwani.
Wadudu wadogo wadogo wanakunyevua nyevua.Kesho ndio watagundua pilau lao lina mchanga
Jiandae wadudu wako kutulizwa bibieHilo hilo basmati watakuta mchanga chini
kesho Simba anapigwa mbili kavu....
Na kama kuzomea wakazomee wakati wanakata gogoWameruhusiwa mashabiki elfu kumi tu,Yanga tunaomba sana msitujazie nafasi tunaomba mbaki kwenye vibanda umiza atutaki jamu.
Na vita hawatagusa nyavu hivyo itakuwa Simba 2 Vita 0Hii mechi haina magoli mengi.nawaona As Vita na mashambulizi ya counter attack.
Nawaona Simba watapiga pasi nyingi zitakazo tengeneza nafasi nyingi lakini magoli ya Simba hayatozidi mawili.
Hivi kwa nini Utopolo wana tabia za kimalaya malaya,kila mgeni wanamshobokea?Mkuu acha waje. Utopolo wana gundu kila timu wanayo shobokea Simba SC inaibuka na ushindi.
Dudu limedinda kweli usichelewe nikuwashe cha fasta kwenye kwenye 'o' yakoJiandae wadudu wako kutulizwa bibie
Safari hii hamjaenda kuwapoke eeh..Kesho ndio watagundua pilau lao lina mchanga