Labda, ngoja tuone mkuuUlikuwa unakumbuka mechi ya tarehe 16 March 2019.
Mm nakumenya tu hata ulie kama paka hahaaa.....Aliyekutatua marinda kakuweza kweli kweli, masikini unavaa pampas kama mtoto.
Kama ulivyoona mwenyewe niletee huo mdomo wa chupa mke wanguMm nakumenya tu hata ulie kama paka hahaaa.....
alafu mtoto umebodoka ww....
nani alikuwa anakukula bila nidhamu
Tunaomba unyooshe mkonoHilo hilo basmati watakuta mchanga chini
kesho Simba anapigwa mbili kavu....
Njoo urekebishe Uzi wakoHii mechi haina magoli mengi.nawaona As Vita na mashambulizi ya counter attack.
Nawaona Simba watapiga pasi nyingi zitakazo tengeneza nafasi nyingi lakini magoli ya Simba hayatozidi mawili.
Asee sio kurekebisha nafuta kabisa.Njoo urekebishe Uzi wako
O yako inshaila imetepeta hahaaaKama ulivyoona mwenyewe niletee huo mdomo wa chupa mke wangu
unasemaaaaaaaKesho ndio watagundua pilau lao lina mchanga