Amka acha kuota utajinyeaGame itaisha hivi
Simba 2 Alahly 0
Unaleta kama ya Kagera Sugar eeeh..Hivi wamekusahau, ilikuwa mwezi tusikuone hapa.
Njoo uone mpira unavyochezwa
Umeanza kushabikia mpira lini?Timu km hz Kidimbwi wanaishia kuziona kwa TV tu.
Hivi Waarabu mliwapokea au wamekuja wenyewe... Kamati ya Mapokezi na kile kiti chenu cha Enzi..!Naye katua janaView attachment 1708291
Huyo anang'aa endapo akikutana na upinzani kama ule wakina tuisila na sapongNaye katua janaView attachment 1708291
We tulia tuwaoneshe maajabu, kama gym limeshindwa kumpunguza kitambi mwakalebela mwambia hiyo jumanne akae jirani na tv saa 10 jionAmka acha kuota utajinyea
Daaah mkuu total war haina maana kwamba tumpige al ahly goli zote hizo 8Kuna watu wanaenda kupigwa 8!
Hamkawii kuwakataa wakifungwa utasikii hivi hawa Al Ahly kweli..!? Kwani hata AS Vita mlileta shobo, lakini baada ya game mlikuwa weusi kama kitako cha bundukiKila lakher Al Ahly
Nyie wamatumbi hamuwezi Vita na mwarabu hata siku moja
Una gundu we uto battle na Simba hujawahi shinda hata mara mojaKila lakher Al Ahly
Nyie wamatumbi hamuwezi Vita na mwarabu hata siku moja
We si ulijipa ban nini kimekuibuaKuna watu wanaenda kupigwa 8!
Lwanga faulu zake anacheza mbali na boxTunaiombea kila la heri Simba SC, ila Nina hofu na Lwanga waarabu wata-mpress ndani ya boksi atatoa penati asipokua muangalifu
Hivi kwanini Utopolo ahadi zenu kwenye mpira ni kuvua nguo? Kulikoni